Numbers 18:1

Wajibu Wa Makuhani Na Walawi

1 a Bwana akamwambia Haruni, “Wewe, wanao na jamaa ya baba yako mtawajibika kwa makosa dhidi ya mahali patakatifu, na wewe na wanao peke yenu ndio mtakaowajibika kwa makosa dhidi ya ukuhani.
Copyright information for SwhKC